Pata habari zote kali kuhusu Soka La Bongo kupitia APP hii ambapo inakuunganisha na habari zote kuanzia za usajili, mechi na matukio muhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania. App hii itakupa habari za moja kwa moja kutoka klabu zifuatazo. Azam Fc. Mbeya City. Simba Sc. Yanga Sc. Pamoja na Habari kubwa kutoka katika magazeti ya michezo nchini kama. Mwanaspoti. Championi.